Tanzania yasaini mkataba mwingine wa ndege

Rais Magufuli alipokuwa akipokea moja ya ndege za ATCL.

Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na kampuni ya kutengeneza ndege kutoka Canada kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya aina ya Bombardier Q400, inayotarajiwa kufika nchini June 2020, yenye kubeba abiria 78 na uwezo wa kutua katika viwanja karibia vyote nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS