Yanga kuhusu kupandisha kiingilio CCM Kirumba Makamu wa Rais wa Yanga na Afisa Habari Uongozi wa Yanga umeweka wazi viingilio vitakavayotumika katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids FC na kufafanua sababu ya kupanga aina hiyo ya viingilio. Read more about Yanga kuhusu kupandisha kiingilio CCM Kirumba