Magufuli amtumbua Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi

Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa  Mkuu wa Wilaya ya Nachingwe Rukia Muwango, pamoja na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Bakari Mohamed Bakari, ambaye nafasi yake imechukuliwa na Hassan Abbas Rungwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS