TAKUKURU yawanasa waliopiga Mil. 200
Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), inawashikilia watumishi wawili akiwemo Mhasibu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Sokoine wakituhumiwa kwa makosa ya ubadhilifu wa fedha za miradi mbalimbali, ukiwemo ujenzi wa wodi ya watoto wenye thamani ya Sh. 221,000,000/-.

