Wizara yakanusha kuzindua dawa ya nguvu za kiume
Wizara ya Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto imekanusha taarifa ya juu Waziri Ummy Mwalimu anatarajiwa kuzindua duka maalum la linalouza nguvu za kiume, na kusema hakuna dawa iliyothibitishwa na Serikali kuanza kutumika.

