Kauli ya Goodluck Gozbert wimbo kuchezwa Ikulu Muimbaji wa nyimbo za Injili hapa nchini, Goodluck Gozbert, amesema kuwa hakuwahi kutarajia hata siku moja, kama wimbo wake ungeweza kuchezwa Ikulu wakati wa shughuli ya uapishwaji wa viongozi. Read more about Kauli ya Goodluck Gozbert wimbo kuchezwa Ikulu