RC atengua kauli ya DC,adai mtu hapangiwi kuabudu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, ametengua kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema, iliyokuwa inazuia watu kuabudu katikati ya juma kwa madai ya kuwa hawezi kuwapangia watu masaa na siku za kumuabudu Mungu wao wanayemuamini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS