TAKUKURU yamnasa Askari wa JWTZ Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoani Kagera, inawashikilia watumishi wanne, akiwamo askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa. Read more about TAKUKURU yamnasa Askari wa JWTZ