Amber Rutty adai hajawahi kuvaa nguo za ndani
Video Vixen na msanii Amber Rutty, ametangaza kuwa tangu ameolewa na mume wake Davil, hajawahi kuvaa nguo za ndani akidai kuwa zinambana na anaogopa joto la Dar Es Salaam, ambalo litasababisha uvundo kwenye nguo hizo.
