Rebeca atangaza kwenda Vijijni Mwanaharakati Rebeca Gyumi, baada ya kushinda kesi inayopinga mtoto wa kike kuolewa akiwa chini ya umri wa miaka 18, amesema kuwa hatua inayofuata sasa ni kuhakikisha Bunge linaibadilisha sheria hiyo kwa muda muafaka, Read more about Rebeca atangaza kwenda Vijijni