Rwakatare aeleza sababu ya wanawake kutoolewa Mama wa upepo wa kisulisuli na Askofu wa Kanisa la Mlima wa Moto Dkt Getrude Rwakatare, ameeleza sababu ya wanawake wengi kushindwa kuolewa ni kutokana na vijana wengi kukwepa majukumu yao. Read more about Rwakatare aeleza sababu ya wanawake kutoolewa