Foby afunguka juu ya ubinafsi wa Hamisa Mobetto Foby na Hamisa Mobetto Msanii wa Bongo Fleva, Foby amefunguka juu ya tabia ya ubinafsi ya msanii na mwanamitindo Hamisa Mobetto, ikiwa ni baada ya miezi kadhaa kupita tangu walipofanya kazi pamoja. Read more about Foby afunguka juu ya ubinafsi wa Hamisa Mobetto