Mkuu wa mkoa wa Mwanza atua TFF, awasilisha maombi

Rais wa TFF Wallace Karia (kushoto) na Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela (kulia).

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela amesema baada ya mkoa wake na kanda ya ziwa kwa ujumla kuonesha mwitikio wa hali ya juu kwenye mechi ya Yanga na Pyramids jana Jumapili Oktoba 27, 2019 sasa ni wakati wa TFF kupeleka mechi za kimataifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS