Majibu ya Zahera kwa wasiompenda Yanga Locha Mwinyi Zahera Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa hawezi kuasikilia mashabiki wanachokisema kwa sasa baada ya kufungwa na Pyramids FC bali anawasiliana na uongozi ambao ulimpa mkataba. Read more about Majibu ya Zahera kwa wasiompenda Yanga