"Pyramids inafungika kawaida" - Mwakalebela Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amezungumzia maandalizi ya klabu hiyo dhidi ya matajiri wa Jiji la Cairo, Pyramids FC utalaopigwa wikiendi hii. Read more about "Pyramids inafungika kawaida" - Mwakalebela