Maiti yakataa kuzikwa kisa pesa ya mahari
Waombolezaji wa msiba katika kijiji cha Shambarere, Kaunti ya Kakamega nchini Kenya wameshuhudia kisa cha maiti ambayo ilitakiwa ikazikwe, lakini ikashindikana baada viungo vyake vya mkononi kukunja ngumi kwa madai ya kutaka kulipwa mahari yake.