Mchezaji aweka rekodi ya kucheza kwa miongo minne Vince Carter Mcheza kikapu Vince Carter anayekipiga katika timu ya Atlanta Hawks inayoshiriki ligi ya NBA, ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya ligi hiyo kucheza kwa miongo (decade) minne. Read more about Mchezaji aweka rekodi ya kucheza kwa miongo minne