Africa yaanza kuondoa raia wake Iran Nchi kadhaa za Kiafrika zinafanya mipango ya kuwarudisha raia wao nyumbani kwa hofu kwamba wanaweza kukwama katika mzozo wa vita baina ya Israel na Iran uliozuka tarehe 13 Juni Read more about Africa yaanza kuondoa raia wake Iran