Yanga yavunja mkataba na mfungaji bora Juma Balinya Klabu ya soka ya Yanga imevunja mkataba na mshambuliaji wake raia wa Uganda Juma Balinya. Sababu za kuvunja mkataba hazijawekwa wazi. Read more about Yanga yavunja mkataba na mfungaji bora