Haji Manara adai Simba wataingia kama 'Underdog'
Homa ya mpambano kati ya watani wa Jadi Simba na Yanga imezidi kupamba moto, ambapo siku ya leo Disemba 1, 2020 msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara, amesema timu yao itaingia kama 'Underdog' ili kuwaheshimu wapinzani wao.