Liverpool waanzisha mazungumzo na Antony Godon Anthony Gordon Klabu ya Liverpool inataka kufungua mazungumzo ya moja kwa moja kwa mchezaji wa Newcastle Anthony Gordon. Kuna uwezekano wa mchezaji huyo akajiunga na Miamba hao wa Premier League msimu huu wa Joto. Read more about Liverpool waanzisha mazungumzo na Antony Godon