Ancelotti ashtukia ujanja wa Guardiola
Kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti amesema kauli ya Pep Guardiola ni mbinu maalumu za kuwatoa mambingwa hao watetezi wa UCL mchezoni kuelekea katika mchezo wa marudiano utakaopigwa kesho katika uwanja wa Santiago Bernabeu