Mbowe apata pigo, Mbunge afuata nyayo za Tibaijuka
Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia CHADEMA Wilfred Lwakatare, leo Aprili 14, 2020, amesema kuwa kwa sasa atapumzika katika siasa ambazo amezitumikia kwa miaka mingi na kwamba hana deni na mtu yeyote hata wale ambao aliwahi kuwashinda alishamaliza nao.