Iringa: Mtoto anusurika kifo kwa kipigo cha baba
Wakati jitihaha za kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa watoto zikiendelea, hali ni tofauti mkoani Iringa baada ya mtoto wa mwaka 1 mkazi wa eneo la Itunundu Pawaga, Wilayani Iringa kunusurika kifo kutokana na kupigwa na baba wa kambo.