Lipumba awaasa vijana wanoingia kwenye mahusiano
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Prof Ibrahim Lipumba, amewashauri vijana ambao wanataka kuingia kwenye mahusiano kwa kusema, wachukue muda kwanza kabla ya kuanzisha mahusiano kisha watafute mahusiano ambayo yatadumu kwa muda mrefu.