Mbeya : Wahudumu wa Bar kuanza kuvaa Mask
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametengua kauli yake ya kuzifunga baa zote ifikapo saa tatu usiku aliyoitoa jana wakati wa kikao na waandishi wa habari, badala yake ziendelee na shughuli kama kawaida huku tahadhari zaidi zikichukuliwa ili kukabiliana na