"Akijichanganya mmoja naruka naye" - Barakah

Msanii wa BongoFleva Barakah The Prince

Msanii Barakah The Prince ameeleza kuwa anamiliki akaunti ya mtandao wa Instagram ya mpenzi wake Najdattan, hivyo akikuta "message" yeyote ya msanii ambayo amemtumia mpenzi wake basi ataruka naye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS