"Mama Rwakatare alikuwa mcha Mungu" - JPM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Wabunge na waumini wa Kanisa la Mlima wa Moto kufuatia kifo cha Askofu Getrude Rwakatare, kilichotokea leo Aprili 20, 2020, Jijini Dar es Salaam na kusema kuwa alikuwa ni mcha Mungu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS