"Sisi ni kama binadamu wanaokufa" - Askofu Bagonza
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Dkt Benson Bagonza, amesema kuwa huu ni wakati wa kuchukua hatua sahihi ili kuweza kupambana na adui Corona na kwamba watu hawapaswi kuona kama wao wako salama zaidi nakuona siyo kama wale wanaokufa zaidi katika Mataifa mengine.