Kanisa lazuia viongozi kusafiri kuepuka Corona
Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (S.D.A), limetangaza marufuku kwa viongozi wake wakiwamo maaskofu na wachungaji, kutokusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ndani ya nchi, ili kuepuka maambukizi ya COVID 19.