"Msemaji ni mmoja tu, nikipigana nitaua" - Manara

Haji Manara na Masau Bwire

Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema hamtambui Afisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire kama msemaji na kwamba yeye ndiye msemaji pekee maarufu na anayejulikana Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS