Mr Beneficial aeleza hali ya Corona Marekani Mchekeshaji Mr Beneficial Marekani ni Taifa ambalo linaongoza Duniani kuwa na vifo vingi vinavyotokana na ugonjwa wa Virusi vya Corona, mpaka sasa inadaiwa kuna idadi ya vifo elfu 41 na waliombukizwa ni 772,079. Read more about Mr Beneficial aeleza hali ya Corona Marekani