Wachina 6 washtakiwa kwa kutoroka Karantini Baadhi ya raia wa China na wengine wawili walioshtakiwa Mahakama ya Nakawa Jijini Kampala Uganda, imewashtaki raia 6 wa China baada ya kutoroka kutoka katika moja ya hoteli nchini humo, ambako waliwekwa Karantini. Read more about Wachina 6 washtakiwa kwa kutoroka Karantini