Matumizi ya limao, tangawizi yapaa Jijini Arusha
Wakati Serikali ikiendelea kuhamasisha wananchi kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19, matumizi ya viungo vya liomao, tangawizi na vitunguu saumu, yameonekana kushika kasi katika maeneo mbalimbali jijini Arusha kwa kile kinachoaminika, vitu hivyo husaidia kuimarisha kinga ya mwil