DC amjibu aliyedai Corona itaua Watanzania Mil. 1
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Mchembe, amewataka viongozi wa dini wilayani Gairo kuiombea Wilaya hiyo na Taifa, dhidi ya ugonjwa wa Corona, kwa kile alichokidai kuwepo kwa baadhi ya wanasiasa wakidai kuna Watanzania Milioni 1 watafariki kwa ugonjwa huo.