Wizara yafafanua mjadala kuhusu wachezaji wageni
Kufuatia Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kuanzisha mjadala wa nchi nzima kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni wanaotakiwa katika michezo, Mkurugenzi wa Michezo amefafanua mkanganyiko uliojitokeza juu ya mjadala huo.