Gwiji wa zamani wa Yanga afariki dunia Yanga Aliyewahi kuwa mchezaji na Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Lawrence Mwalusako amefariki dunia leo Asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. Read more about Gwiji wa zamani wa Yanga afariki dunia