Azam FC yafichua udhaifu wa Yanga Azam FC na Yanga Klabu ya Azam FC imejinasibu kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga pamoja na kutaja udhaifu wa wapinzani wao kuelekea mchezo wa Ligi Kuu utakaopigwa leo katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Read more about Azam FC yafichua udhaifu wa Yanga