"Siogopi manyaku nyaku,nitaolewa" - Hamisa Mobetto Msanii Hamisa Mobetto Msanii na mrembo Hamisa Mobetto ameiambia EATV & EA Radio Digital kuwa kwenye maisha yake anaogopa vitu vingi ila haogopi suala la mwanamke "manyaku nyaku" kumchukulia mwanaume wake. Read more about "Siogopi manyaku nyaku,nitaolewa" - Hamisa Mobetto