Makamu wa Rais kuongoza mazishi ya Balozi Mahiga

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu, leo Mei 2,2020, ataongoza mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt Augustine Mahiga, aliyefariki mapema jana Mei 1, Jijini Dodoma baada ya kuugua ghafla.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS