Diwani akamatwa kwa rushwa Kyela
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru Mkoani Mbeya imethibisha kumkamata Diwani wa Viti Maalum wilaya ya Kyela, Tumain Mwakatika kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa kinyume na sheria ya Takukuru namba 11 ya mwaka 2007.