"2020 nimebadilisha upepo" - Alikiba
Msanii wa BongoFleva Alikiba, amefunguka kusema wimbo wake bora kabisa anaoupenda ni "My Everything" iliyotoka miaka 8 iliyopita, pia amesema mwaka 2020 amebadilisha upepo wa muziki kwani anataka kwenda sawa na mashabiki zake.