"Rais Magufuli amekuwa kama Yesu Kristo" -Kangi
Mbunge wa Mwibara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kangi Lugola, amesema kuwa watu kama Rais Magufuli hauwezi ukawapata popote pale na ndiyo maana hata alipoamua kumtengua kwenye nafasi yake ya Uwaziri alimshukuru na hivyo kumfananisha na Yesu Kristo.