Rekodi kubwa 5, ubingwa wa 19 wa Liverpool Liverpool FC Klabu ya soka ya Liverpool imefanikiwa kushinda ubingwa wa ligi nchini Uingereza kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30 na kufikisha ubingwa wa 19 nyuma ya mahasimu wao Man United wenye mataji 20. Read more about Rekodi kubwa 5, ubingwa wa 19 wa Liverpool