'Kuna sukari imekwama sababu ya Corona' - Serikali

Sukari

Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba, amesema sababu ya kuadimika kwa Sukari nchini, imechangiwa na uwepo wa Corona, baada ya Tani elfu 40 za Sukari zilizoagizwa kutoka nje ya nchi, kukwama katika nchi husika baada ya nchi hizo kufunga mipaka yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS