"Ukimbusu mtu bila hiyari ni ukatili" -Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametumia jukwaa la uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Mkoani Lindi, amesema kuwa ukatili wa kijinsia na kingono ni pamoja na kumbusu mtu akiwa hayupo tayari na kutumia maneno ya kumshawishi mtu ilihali ikiwa hayupo tayari.