Akutwa amefariki mwili ukielea juu ya mto
Mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika anayekadiriwa kuwa na miaka 35 jinsia ya kiume amekutwa amefariki dunia na mwili wake ukiwa unaelea kando ya mto Mpanda eneo la Misunkumilo Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.