Jair Bolsonaro alazwa Hospitalini Ghafla
Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro amelazwa katika hospitali ya Brasilia siku ya Jumanne, Septemba 16, 2025, baada ya kujisikia vibaya, siku chache baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 27 jela kwa jaribio la mapinduzi

