Mashujaa wa Vita vya Kagera wakumbukwa maadhimisho
Maadhimisho ya kuwaenzi mashujaa waliopigania haki na uhuru wa nchi dhidi ya utawala wa kikoloni yamefanyika katika leo Julai 25, 2025 viwanja vya Mashujaa vilivyopo makao makuu ya nchi, mjini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini na serikali.