Ivan Rakitic atangaza kustaafu rasmi soka

Ivan Rakitic

Akiwa na umri wa miaka 37, Ivan Rakitic kiungo wa kati wa Croatia ametangaza kustaafu soka ya kulipwa hii leo Jumatatu, akifunga kazi iliyojaa mataji, mihemko na nyakati zisizosahaulika katika maisha ya soka.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS